Waziri wa Tamisemi MHE. INNOCENT BASHUNGWA amesema kuwa wiki hii wanatarajia kutangaza ajira mpya za walimu pamoja na watumishi WA KADA ya Afya.
Waziri ameyasema hayo akiwa katika mkutano na wadau mbalimbali uliofanyika kupitia zoom wakijadiri kuhusu zoezi la uwekaji alama za mipaka tarafa ya Loliondo na maendeleo ya zoezi la uhamaji wa hiari kwa wakazi wa Ngorongoro
Kuangalia video ya mkutano huo bofya hapo chini

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
share with us